Najikuta namheshimu sana Jokate

Najikuta namheshimu sana Jokate

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
11,088
Reaction score
14,576
Nimekuwa namjua Kama kidada Cha mjini tu ,mara skendo Mara hivi lakini na muda Sasa toka awe mkuu wa wilaya ,naona anabehave kiasi ameuchoma moyo wangu Kama mshumaa.

Tizama mavazi yake ,uje uchaguzi wake wa maneno ,Kisha namna asivyo taja taja jina la raisi ka yule wa arumeru ,konda au hapi kilakitu Rais hivi raisi vile ,huwezi msikia anataka wapinzani Wala kujihusisha .

Uhamasishaji alioufanya naona anawazidi kina bashite mile 100 .
SOMO:Sometime watu wanajichizi usipowapa fursa unasema kijana anashinda kijiweni ,umempa kazi akakataa?

Long live our sis Hon Jokate Mwegelo
 
JOKATE habari nyengine ni vile alikuwa hajajua anataka kufanya nini ila naamini kwa sas atakuwa ametulia na kufanya maendeleo ya wanakisarawe na In Sha Allah atafanikiwa kwa dhamira yake ya kubeba matumaini ya watoto wa kike ambao walishaanza kupoteza matumaini
Mungu amuongoze
 
Nimekuwa namjua Kama kidada Cha mjini tu ,mara skendo Mara hivi lakini na muda Sasa toka awe mkuu wa wilaya ,naona anabehave kiasi ameuchoma moyo wangu Kama mshumaa.

Tizama mavazi yake ,uje uchaguzi wake wa maneno ,Kisha namna asivyo taja taja jina la raisi ka yule wa arumeru ,konda au hapi kilakitu Rais hivi raisi vile ,huwezi msikia anataka wapinzani Wala kujihusisha .

Uhamasishaji alioufanya naona anawazidi kina bashite mile 100 .
SOMO:Sometime watu wanajichizi usipowapa fursa unasema kijana anashinda kijiweni ,umempa kazi akakataa?

Long live our sis Hon Jokate Mwegelo

Hafla ya kutokomeza ZIRO za Kisarawe itafanyikaje Dar? Halafu yule kibwengo mfupi mlevi aliyefanana sura na Mabaga Fresh Tundu Lissu alialikwa kwa kazi gani pale?

Hizo pesa zilizotumika katika hafla yenyewe zingesaidia jitihada za elimu moja kwa moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichokupenda hujauliza Kama mjuaji umeacha nafasi ya kukufunza,haya sikia: kwenye maisha dunia nzima Kuna watu huwa wanaitwa maarufu (celebrities) Hawa hutokana na sababu nzuri au mbaya ,ila kimoja wanacho wote huwa na nguvu ya ishawishi ambayo duniani kote hutumika kuijenga vyema jamii,wauza madawa waliokubuhu baada ya vifungo hujikita kupiga Vita madawa na uzoefu unaonesha hufanikiwa sana ,ni Kama ukimbadili jambazi akawa police,Jokate ni mtu maarufu sana Dar,wakazi wengi wa kisarawe wanaishi dar hususani wenye nguvu ya kiuchumi na kiushawishi ,pia hakuna amri Wala sheria kwamba ukiandaa harambee ya maendeleo ya Moshi ni lazima ifanyikie Moshi unaangalia itawafikia wapi walengwa wenye mchango mkubwa,halafu ulevi baada ya kazi umekatazwa na sheria? Au hujui ukimtoa mwinyi maraisi wote wamewahi kuwa walevi ? Ulevi ni kitu binafsi .mbona wamo makahaba wamealikwa mle hujashangaa ,Pierre leo ni maarufu kuliko baadhi ya mawaziri wewe Hapo ntajie mkuu wa mkoa wa kigoma humjui ,ila Pierre unamjadiri .Kaka usimkosoe mungu sura hakujiumba nayo ndo mnazaaga viwete mnamuuliza mungu why me? Jibu ni why wazazi wa pierre and not you
 
Back
Top Bottom