Habari wajameni
Mimi nina shida kwenye paypal nikisign up nikiweka email na pasword nikashacomfirm nikiwa hatua ya kujaza information lazima izingue tu
Ninajaza vizuri tu nikibonyeza kitufe cha Join/accept terms and condition inagoma kinakua hakibonyezeki
Au najaza taarifa vizuri nikibonyeza kwenye accept inachora mstari mwekundu kwenye kisanduku cha mwaka wa kuzaliwa
Sijui nifanyeje wakuu
Najisajili kwenye website yao kupitia opera mini
Kwa ambao mmejisajili paypal siku za karibuni plzzz njooni mnisaidie au mnipe maujanja plsss
ahsante mkuupaypal inahitaji secured browsers. mi nilikua najarib kwa uc inagoma. nikabofya sehemu wameandika "can't log in" wakanilistia list za browsers zinazokubali kulog in kwa paypal ikiwemo mozilla. so jaribu kudownload mozilla utumie hyo.
Habari wajameni
Ninajaza vizuri tu nikibonyeza kitufe cha Join/accept terms and condition inagoma kinakua hakibonyezeki
Au najaza taarifa vizuri nikibonyeza kwenye accept inachora mstari mwekundu kwenye kisanduku cha mwaka wa kuzaliwa
Wanataka tarehe mwez na mwaka wa kuzaliwa nikiweka inachora redHakibonyezeki kwasababu hujamaliza kuweka information nyinginezo, hakikisha una double check taarifa zote ulizoweka kama ni sahihi
Hapo mwaka ulioweka siyo sahihi, au haujafuata format inayotakiwa. Huo mwaka ni mwaka wa kitu gani? Birthdate au?
ninaweka taarifa zoteHakibonyezeki kwasababu hujamaliza kuweka information nyinginezo, hakikisha una double check taarifa zote ulizoweka kama ni sahihi
Hapo mwaka ulioweka siyo sahihi, au haujafuata format inayotakiwa. Huo mwaka ni mwaka wa kitu gani? Birthdate au?
paypal inahitaji secured browsers. mi nilikua najarib kwa uc inagoma. nikabofya sehemu wameandika "can't log in" wakanilistia list za browsers zinazokubali kulog in kwa paypal ikiwemo mozilla. so jaribu kudownload mozilla utumie hyo.
Kama umesajili vizuri I hope walikuambia kuwa ujaze details za master card yako ya bank..........PayPal itafanya kazi kwa wewe kukatwa hela kwenye account yako ya bank kama utanunua kitu au bidhaa yeyote online kwa maana kwamba PayPal atakuwa ni mlinzi wako wa fedha zako, utakaponunua kitu online kwa maana kuwa mnunuzi asipokupa bidhaa yako basi PayPal watakurudishia hela yako!Labda swali langu baada ya kujisajili hivi paypal itaanza kufanya kazi.muda gani na.pesa yao watakata muda gan???
thank u very muchKama umesajili vizuri I hope walikuambia kuwa ujaze details za master card yako ya bank..........PayPal itafanya kazi kwa wewe kukatwa hela kwenye account yako ya bank kama utanunua kitu au bidhaa yeyote online kwa maana kwamba PayPal atakuwa ni mlinzi wako wa fedha zako, utakaponunua kitu online kwa maana kuwa mnunuzi asipokupa bidhaa yako basi PayPal watakurudishia hela yako!
naomba unisaidie name niweze saini in pay pal maana inanisumbua na kuna manunuzi mengi nataka fanyanimeshaweza mkuu
naomba unifunze namie tafadhaliJaribu browser nyingine
Niemtumia paypal kwa zaidi ya miaka 5, sijawahiona hilo tatizo.