Najaribu kufikiria kile Cheo alichoahidiwa Tundu Lisu na Shujaa Magufuli Ingekuwa Mbowe angeweza kukataa?!!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,521
Akiwa Ikungi Singida Shujaa Magufuli Mwaka 2020 aliwaambia Wazee Kuwa alitamani kufanya KAZI na Tundu Antipas Lisu na alishamuandalia Cheo kizuri lakini Lisu alikataa na kusema atagombea uRais kama alivyopanga

Najiuliza tu Mwenyekiti Mbowe angeweza kukataa OFA ya Cheo kutoka kwa Shujaa Magufuli?

Mlale Unono 😄😄
 
Mwacheni Magufuli ayalipie aliyoya tenda hapa duniani. Marehemu hasemwi Mkuu.
 
Akiwa Ikungi Singida Shujaa Magufuli Mwaka 2020 aliwaambia Wazee Kuwa alitamani kufanya KAZI na Tundu Antipas Lisu na alishamuandalia Cheo kizuri lakini Lisu alikataa na kusema atagombea uRais kama alivyopanga

Najiuliza tu Mwenyekiti Mbowe angeweza kukataa OFA ya Cheo kutoka kwa Shujaa Magufuli?

Mlale Unono 😄😄
Nasikitika Lissu na Mbowe wanataka kukiua chama kizuri kwa ujinga na tamaa zao bora hata covi 19 wangerudishwa. hawa waliobaki bure
 
Mwacheni jembe letu apumzike kwa amani..mama si anawatenda vyema au?
 
Back
Top Bottom