Majambazi walivamia mji mmoja, yakawakuta mke na mme. Majambazi yakaanza kuwahoji kama ifuatavyo:-
Majambazi: wewe mwanamke unaitwa nani?
Mke: Naitwa Elizabeth
Jambazi mmoja: wewe tumekusamehe maana jina lako linafanana na la mama yangu.
Mke: Asante sana.
Majambazi: Wewe mwanaume unaitwa nani?
Mume: Mimi naitwa John ila Kazini huwa wananiita Elizabeth!!
Majambazi: ahahahahahahahah