Naitaka TCRA kumchukulia hatua za kinidhamu Sasha Kassim kwa ku-post picha za utupu mtandaoni

Nimesoma kuwa ameweka private.. wewe ulimuomba kuingia huko kuona nini kama haukufata kuona hayo anayorusha!?
 
yani huyu ni mtamgazaji kabisa either kama ni njemba limeahidiwa lipeleke likes za kutosha litaruhusiwa hata lishike kiziwa au kama ni mdada basi shoga ake wa karibu

naweka kalamu chini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu demu hana account ya facebook.. iyo ndo biashara yke inayo muiingizia kipato inaonekana amekukataa hadi umeanza au ndo umekuja kutangaza biashara yake acha wengine wajilie
 
huyu demu hana account ya facebook.. iyo ndo biashara yke inayo muiingizia kipato inaonekana amekukataa hadi umeanza au ndo umekuja kutangaza biashara yake acha wengine wajilie
Usiongee kabla hujafanya utafiti, anazo account zaidi ya Tatu fb, na kazi yake ni kuuza mkoba wa kubebea marungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom