naitaji shamba nipo dar liwe la bei nafuu
Mashamba yanapatikana lakin ni Bagamoyo, chanzo cha maji ni mto Ruvu na mimi nna plots zangu huko napiga kilimo. Tuwasiliane.View attachment 132802
sio lazima mto hata kuwe na uwezo wa kuchimba kisima
unanisaidiaje