Naitaji s4 au s5, tafadhali iwe clone

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
693
Naitaji samsung s4 au s5 na iwe clone yenye mahitaji yote ya simu mpya, nipo moshi. Weka budjet yako hapa nikupe shekeli.
 
275,000/= for S5. Hiyo ni pamoja na transport cost
 
inabidi mtueleweshe wengine hatujui "clone" na "og"....zinatengenezwa kwa odhini ya mwenye "brand name" au ni wizi wa brand name?

ni fake copy and paste
 
niliwahi kuuzima blackberry fake ilizimwa na mitambi ya zantel. Kama huwezi mpya needa ebay au amazon ununue iliyotumika lakini original.

ha ha ha ilizimwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…