Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,524
- 5,782
Husika na kichwa cha habari, napatikana mwanza naomba mwenye line za uwakala tigo na voda tuwasiliane, uwe ni mtu unayeeleweka na usinijie kwa njia ya kunitapeli, au kama line zako zina matatizo usinijie. Kama unakidhi vigezo karibu Pm kwa maongezi zaidi.
Asante.
Asante.