mimi si boya bana, sadaka haupendi kutoa unataka laptop ya laki mbili? hata MUNGU hawezi kukupa kwa maombi yako ya kiboyoboya. haupati laptop kwa bei na specification zako. lakini ukhitaji laptop tu ili mradi na wewe una miliki laptop nenda kariakoo hata 3 utapata tu.