prs JF-Expert Member Joined Feb 22, 2013 Posts 2,642 Reaction score 3,376 Jan 11, 2014 #21 MTOTO KITAA said: karibu sana ila tunakuonya usigombee uwenyekiti, usiulize mapato na matumiz, uwe unajitolea nguvu na pesa ili viongoz waende dubai, uwe tayar kuvumilia viongoz wakipokea pesa za rostam na mkono. naamin utakuwa mwamachama NDIO Click to expand... Hii inahusu wana-CDM pekee...Wewe umetokea wapi!!! Kaanzishe uzi wako kuhusu magamba mchangie.. Narudia tena ..Uzi huu tunamkaribisha ndugu yetu CDM..
MTOTO KITAA said: karibu sana ila tunakuonya usigombee uwenyekiti, usiulize mapato na matumiz, uwe unajitolea nguvu na pesa ili viongoz waende dubai, uwe tayar kuvumilia viongoz wakipokea pesa za rostam na mkono. naamin utakuwa mwamachama NDIO Click to expand... Hii inahusu wana-CDM pekee...Wewe umetokea wapi!!! Kaanzishe uzi wako kuhusu magamba mchangie.. Narudia tena ..Uzi huu tunamkaribisha ndugu yetu CDM..
M musami JF-Expert Member Joined Sep 16, 2011 Posts 1,434 Reaction score 460 Jan 11, 2014 #22 prs said: Hii inahusu wana-CDM pekee...Wewe umetokea wapi!!! Kaanzishe uzi wako kuhusu magamba mchangie.. Narudia tena ..Uzi huu tunamkaribisha ndugu yetu CDM.. Click to expand... Ni vyema na ninyi Chadema mkubali kukosolewa iwapo kuna kasoro.Sidhani kwamba ninyi ni wakamilifu100%.
prs said: Hii inahusu wana-CDM pekee...Wewe umetokea wapi!!! Kaanzishe uzi wako kuhusu magamba mchangie.. Narudia tena ..Uzi huu tunamkaribisha ndugu yetu CDM.. Click to expand... Ni vyema na ninyi Chadema mkubali kukosolewa iwapo kuna kasoro.Sidhani kwamba ninyi ni wakamilifu100%.
MUSSA ALLAN JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 18,925 Reaction score 13,280 Jan 11, 2014 #23 Karibu Kamanda, kamata Glass ya gongo uburudike kwanza!
kidole007 JF-Expert Member Joined Dec 22, 2012 Posts 3,094 Reaction score 1,878 Jan 11, 2014 #24 MSALANI said: Karibu Kamanda, kamata Glass ya gongo uburudike kwanza! Click to expand... bila kusahau mbege pembeni akae na kitofali kwa usalama wake karibu sana
MSALANI said: Karibu Kamanda, kamata Glass ya gongo uburudike kwanza! Click to expand... bila kusahau mbege pembeni akae na kitofali kwa usalama wake karibu sana