Naitaji Kazi ya udereva

Naitaji Kazi ya udereva

Joined
May 2, 2024
Posts
21
Reaction score
10
Habar za muda huu
Asalem aleykum,

Ndugu jama na marafiki nipo hapo Leo kuelezea changamoto yangu kwenu nipo hapa kuomba Kazi za udereva wa kumuendesha mtu, taasisi yoyote ile hata gari ya Uber bolt nafanya na Nina uzoefu nayo

Niko tayari kufanya mana hiyo Kazi nimesha fanya na account zote ninazo za Kazi.

Naomba msada wenu ukinisaidia namini umesaidia familia yangu pia na watu wanao nizungumka.

Naomba msaada wenu, namba zangu za simu
0658673259
0658673259
Nitashukuru sana Kwa msada wenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom