Naitaji HTC yakununua.

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
6,016
Reaction score
5,301
Naitaji kununua simu HTC iwe android na touch screen iwe na wi fi pia.bajeti yngu ni 200,000 tsh.inaitajika haraka sana npo dar.0758 144803.
 
Kuna mtu aliziweka hapa jf anaziuza last week kama sikosei, iko moja HTC my 4g touch, Mimi nilinunua bei kibwa lakini yeye alikuwa anauza 230,000/= tuu.
 
Naitaji kununua simu HTC iwe android na touch screen iwe na wi fi pia.bajeti yngu ni 200,000 tsh.inaitajika haraka sana npo dar.0758 144803.
Ongeza 75,000 uchukue status au ongeza 100,000 uchukue inspire
 
Ipo hii 260 htc desire
0754608955
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1369456829221.jpg
    3.5 KB · Views: 233
yani hiyo hela uliyonayo unataka simu htc android unanichekesha sana labda uuziwe zile zakukwapua vituo vyua daladala au zile za utapel ndo utapata kwa bei hiyo
Naitaji kununua simu HTC iwe android na touch screen iwe na wi fi pia.bajeti yngu ni 200,000 tsh.inaitajika haraka sana npo dar.0758 144803.
 
watu wanapenda kununua majina badala ya features, sasa HTC ina nini cha ajabu ambacho simu zingine kama samsung hazina?
 
My toรนch 280


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Unagongwa
yani hiyo hela uliyonayo unataka simu htc android unanichekesha sana labda uuziwe zile zakukwapua vituo vyua daladala au zile za utapel ndo utapata kwa bei hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ