Naitaji girl frend

Zanland

Member
Joined
Apr 8, 2012
Posts
26
Reaction score
1
Jama mimi nahitaji gf ambaye atanifaa kindoa na kimaisha ndani na nje mwanzo na mwisho juu na chini shida na raha napatikana zanzibar namba yangu ni 0774368196
 
Unahitaji Mchumba humu Jei Efu siyo?
Well, wishing you the Best..
Ila kuwa makini..
 
Pita pita foro huwezi kosa humu humpati yule mwenyewee....
 
mie nina miaka 49, ila na upendo mkubwa kama mt Kilimanjaro, ntakufaa?
 
naitaji gf myenye miaka isiyo zidi 23 mwenye akili na maisha mshauli coz mini mjasilia mali ninaeitaji ushahuri no yng 0753814580
 
Kivip prita yapaswa kua unahij kufaham nn tena?
 
Jama mimi nahitaji gf ambaye atanifaa kindoa na kimaisha ndani na nje mwanzo na mwisho juu na chini shida na raha napatikana zanzibar namba yangu ni 0774368196

mkuu nenda kule wanaishi wazaramo, ninasikia kule ukijua kucheza segere tu unapewa mwali wote wote...halafu nzazibari weye hata kule kibandani maiti kunkosa nke kweli weye!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…