Sheriff Hood
Member
- May 3, 2018
- 89
- 131
Play store?,Download app ya uwaridi.
Sawa mkuu thanksDownload app ya uwaridi.
Ddah umenikumbusha kitabu changu sijui nilimuazima nani akaenda nacho mamoja, Sijui havipatikani bookshops!
Unaweza kuwasiliana na mwandishi Issa Tuwa anapatikana Facebook. Utakipata
Ukiipata ni tweet hapa hapa Facebook kwa Instagram handle yangu ya WeChatKama Kuna mtu ana hii riwaya inaitwa Mkimbizi iliandikwa na Hussein Tuwa (Kama sijakosea) naomba anipatie au aiweke hapa.
Niliisomaga zamani sana kwenye magazeti pendwa wakati ule yaliyokuwa yanatoka kila week
mi ninayo hadi MWISHO"Find the bastard at the Rickshow" niliishia hapa aisee... mwenye link namna ya kuipata atasaidia.
Hata utata nayo ilikuwa kali,jadu mfaumeKwenye Mkimbizi na Mtuhumiwa Tuwa alikamua sana.
Unasoma riwaya mpaka unadata kwa mizuka.
Hizi ni baadhi ya kazi zake ambazo kwangu nimezikubali sana;
Mtuhumiwa.
Mkimbizi.
Mdunguaji.
Mfadhili.
Utata wa 9/12 part1&2.
Hii haijapatikana tuu..
Mkimbizi ukienda pale maeneo karibu na soko la kisutu vipi unapataHii haijapatikana tuu..
Ya Mkimbizi
Ni soft copy mkuu ama hardcopymi ninayo hadi MWISHO
Sawaa MkuuMkimbizi ukienda pale maeneo karibu na soko la kisutu vipi unapata
Sent using Jamii Forums mobile app