Naitafuta gari kwajili ya uber

Ndugu mimi ni dereva naitaji gari kwajili ya uber na hesabu yangu ni 180,000.
Tuwasiliane kupitia 0718221009
0744952984

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu hesabu ya 180,000/= utaiweza? Madreva wengi pindi wanapokuwa na shida wanatia huruma..ila ukishampa gari yako hata hesabu ya laki moja kwa week anakuwa hawezi kufikisha

Na ushahidi tosha..kuna jamaa aliahidi kuleta hesabu hiyo ila siku zilivyokuwa zikienda ndio hesabu ilizidi kumshinda kufikisha ..hadi.alifikia muda analeta hesabu ya 50,000/= TZS , wamilki wengi wa magari wameyachukua kutoka kwa madreva wao wa uber kutokana na hali hii ya kutofikisha hesabu

Je ulishafanya utafiti kuwa una uwezo wa kufikisha hesabu hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…