Naamini serikali ya ccm haiendi na haitaangalia maslahi ya wananchi bila ya kusukumwa sukumwa na vyama vya upinzani, hususan chadema.. lakini pia naamini hakuna chama cha upinzani chenye uwezo wa kuichukua nchi hii ya Tanzania kwa sasa.. hivyo basi waendelee kupiga kampeni ili wapate wabunge wengi zaidi na kuipa challenge serikali kwa maslahi ya wananchi!
Naisikitikia chadema kwasababu wanapoteza focus yao ya uchaguzi wa 2015, na kufanya mambo mengine yanayopunguza umaarufu wao. Wanapoteza nguvu nyingi sana kutengeneza mambo wanayoyaharibu wao wenyewe ambapo nguvu hizi zingetumika kuweka uimara wao katika uchaguzi ujao.
Chadema ikishika nchi hakutakuwa na mabadiliko watanzania wanayoyategemea kwasababu chama hakibadilishi tabia ya mtu. Chadema na CCM ni watanzania wenye chimbuko moja! na wote si wazalendo kwasababu wanapigania maslahi yao binafsi. Hivyo CCM wabaki wakishika nchi na chadema kibaki chama kikuu pinzani na waache upuuzi wanaoufanya ili waweze kuongeza wabunge uchaguzi ujao na labda watakuwa tayari ili kushika nchi mwaka 2020.
Mwisho wa siku, tunaona tofauti ya wenye experience katika siasa na wale ambao wana muda mfupi katika siasa. "siasa haihitaji kukurupuka na kuendeshwa kwa hisia tu, unahitaji kutumia akili kufanya decisions"
umeongea maneno ya ovyo, hivi nani kakwambia upinzani ni CHADEMA peke yake ? huijui siasa na ulipaswa kunyamaza kimya, kwenye siasa chama usichokizania leo hii 2015 ukiambiwa kimeshinda sio jambo la kushangaza, ccm unayoidhania itaendelea kuongoza nchi utakapoona inashindwa wala sio jambo la kushangaza
pili mambo yepi uliyoyaona ya ovyo yanayofanywa na Chadema ?

Let me jump on the bandwagon,"really took".I have been here for more than three years, I dont recall a day that Chadema real took suggestions fro their fans and worked on them
Chadema imeuliwa na Ben Saanane, Mohamedi Mtoi, Yericko Nyerere, Godbless J Lema Dr.W.Slaa na Mchumbake Josefina na bila kumsahau Mwenyekiti wao Mbowe.
Slaa amesikiliza sana Josefina na vibaraka wake, Serengeti boy, Ben Saanane. Mbowe nae hasikii haoni kwa Lema, Yericko mnafik muongo na mzandik wa kupiga chapuo na kupeleka uongo ili ainekane anajuwa.
Hao ndio kundi lilitia fitna wakfukuzwa vichwa humo ndani ya chadema, hivyo vuwachwa vilivyokuwa vikiiendesha chadema bila hao majuha wengine kuelewa vipoondshwa ndiyo chadema ikawa tamati yake.
Sasa hivi chadema ni kama kuku anaeishi bila kichwa:
[video=youtube_share;ATz3AdbjyRI]http://youtu.be/ATz3AdbjyRI[/video]
umeongea maneno ya ovyo, hivi nani kakwambia upinzani ni CHADEMA peke yake ? huijui siasa na ulipaswa kunyamaza kimya, kwenye siasa chama usichokizania leo hii 2015 ukiambiwa kimeshinda sio jambo la kushangaza, ccm unayoidhania itaendelea kuongoza nchi utakapoona inashindwa wala sio jambo la kushangaza
pili mambo yepi uliyoyaona ya ovyo yanayofanywa na Chadema ?
Maneno kama haya alishayasema Wassira aka Babu Jinga kuwa Chadema ingekufa kabla ya kuisha mwaka 2013. Leo hii tunakata thelusi moja ya mwaka 2014 na Chadema inasonga mbele huku sasa ushirikiano na CUF pamoja na NCCR ukiwa mbioni.
BMK wamewaacha waendelee wenyewe na mtu akiangalia Bunge hilo utadhani ni kikao cha wanandugu kujadili mirathi ya marehemu aliyekuwa kafa bila kuacha mali bali madeni.
Sent from my iPad using JamiiForums