Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,954
- 8,148
Ila kenya wana mitaa michafu sana hasa uswahilin
kuna sehemu inaitwa kibera aisee ni kuchafu hatari. Kibera naifananisha na tandale kwa mtogole.
Iran siyo waarabu Mkuu? Naomba unielimisheThe following countries are considered to be located in the Far East: China, Hong Kong,Macau, Japan, North Korea, South Korea,Mongolia, Siberia, Taiwan, Brunei, Cambodia,East Timor, Malaysia, Laos, Indonesia,Myanmar, Singapore, Philippines, Thailand, and Vietnam.
Ktk hizo👆 nchi ushasikia wamepata kipindu-pindu?
India ikwapi hapo? Au hujui maana ya Far east!!
Iran nao ni waarabu?
Just think be 4 u post!!
Iran siyo waarabu Mkuu? Naomba unielimishe
Una maanisha kama vile wa morocco algeria egypt sio waafrica ila ni african countries eeee hahahahah maana hawana lugha za kimakonde wanapiga kiarabu balaa...Iran sio waarabu, ni waajemi kamanda wangu, is a country in Western Asia....na lugha yao kuu ni PERSIAN (FARSI)
Lugha wanazoongea ni pamoja na
Persian 53%,
Azerbaijani and other Turkic dialects18% (e.g Qashqai, Turkmen), Kurdish 10%,Gilaki and Mazandarani 7%, Luri 6%, Arabic 2%, Balochi 2%, and other languages (Tati, Talysh, Armenian, Georgian, Neo-Aramaic, Circassian, Hebrew) 1%
Una maanisha kama vile wa morocco algeria egypt sio waafrica ila ni african countries eeee hahahahah maana hawana lugha za kimakonde wanapiga kiarabu balaa...
Sent using Jamii Forums mobile app