I know but tunatakiwa tuanze sisi then government ifuate kwa kusaidia kutafuta donors na kuchangia walichokua nacho, kimsingi government haiwezi ikajianzishia tu yenyewe kwamba tunatengeneza satellite tena kwa government za kiafrika vitu kama hivyo sio priority kabisa... Nobody care, tujikusanye then tuandike proposal, engineers mathematician na wanaphysics wafanye design then muwasilishe kwa government... I have been struggling but I don't have supportumeandika point tupu! ila ni utopia
hayo mambo huwa hayawezekaniki kabisa bila government will, donors force
watu hawawezi kukaa na njaa wakaanza kuumiza vichwa kisa wakufurahishe wewe!! this starts from top to bottom
hawa hawa watanzania unaowadharau ndio wako space station nyingi sana duniani, I mean nyingi
Akimaliza atapiga picha na Dr ShikaMkuu anamalizia kununua wapinzani
Akimaliza atanunua satellite yao.
Umeshacheza tatu mzuka jioni hii au?Acheni ujinga nyinyi, serikali ikitengeneza satelite yake mtasema haina faida kwa mwananchi wa chini.
And sijamdharau mtanzania maana me pia ni mmoja wao, kwa hao walioko katika space station wanatakiwa kutoa msaada hata wa mawazo., najua hatuna chuo kinachotoa Bachelor or master degree ya astrophysics but tunao waliosoma huko nje na hawakurudi huku na hawana mpango wa kuwakusanya walio na degree za physics na mathematics walioko huku na kuwapa ideas na kuwaambia nn cha kufanya kwa maana wao wanajua vingi tayariumeandika point tupu! ila ni utopia
hayo mambo huwa hayawezekaniki kabisa bila government will, donors force
watu hawawezi kukaa na njaa wakaanza kuumiza vichwa kisa wakufurahishe wewe!! this starts from top to bottom
hawa hawa watanzania unaowadharau ndio wako space station nyingi sana duniani, I mean nyingi
I know but tunatakiwa tuanze sisi then government ifuate kwa kusaidia kutafuta donors na kuchangia walichokua nacho, kimsingi government haiwezi ikajianzishia tu yenyewe kwamba tunatengeneza satellite tena kwa government za kiafrika vitu kama hivyo sio priority kabisa... Nobody care, tujikusanye then tuandike proposal, engineers mathematician na wanaphysics wafanye design then muwasilishe kwa government... I have been struggling but I don't have support
Hiyo satellite wametengeneza wao wenyewe au kwa kushirikiana na japan?Kujisema vibaya ni jambo la kushangaza lakini hakuna namna ...
Wakati majirani zetu wanainuka vizuri kiteknolojia kutokana na Elimu bora Tanzania inaendelea kuibua makorokocho kwenye Elimu.
Kama kuna nchi ambayo haikufaidika baasi tena wangoje kitambo kidogoHongera tanzania
[emoji20] [emoji20] medicine but hii niliichaguaga baada ya wazazi kupinga mm kuisoma physics kama physics.... Poor memkuu niambie umesoma fani gani, na umeanza kufanya nini?
JF kennedy wakati anawaambia waamerika atafika mwezini, he dreamed but his scientist made this happen...sio siasa au wishful thinking hela inatakiwa na bajeti ya bila kukata au kukoma iwepo
fidel castro wakati anawaambia wahandisi tutengeneze best turbines in the world hakuishia kusema alitoa hela..
brain need to think, contemmplate, relax, creativity...kukomaa mpaka unahisi umeibeba dunia, haya ukiwa na njaa hauwezi!!
bajeti mliyosoma mwaka jana bungeni as we speak leo hela ya maendeleo haijaenda wizara yoyote ile! ndio mseme sattelite wakati tooth pick hauwezi
hao wakenya wamefadhiliwa na wajapan!!.sio jela yao hawawezi kwa hela yao
Juzi Heri james mwenyekiti wa uvccm alivuna wanafunzi zaidi ya 300 pale udsm....nadhani jibu umelipata hawa ndio wasomi na ccm wanapenda kuwaona wakiwa hivi.Mi huwa nashangaa kila mwaka watu wanamaliza vyuo lakini hakuna tofauti yeyote inayo tokea az if kama tuko kwenye genge la porojo na YouTube's.
Ndo hao wasomi wa Tz wanavunwa kama nyanya.Juzi Heri james mwenyekiti wa uvccm alivuna wanafunzi zaidi ya 300 pale udsm....nadhani jibu umelipata hawa ndio wasomi na ccm wanapenda kuwaona wakiwa hivi.
Hujanielewa kaa kimyaBasi wewe hujui satellite Ni kitu gani na kifanya nini
Aa wapiii....huwezi fananisha na Wale wa Turkana wenye utapiamlo! Wetu wana shibe..Kama tu hawa mabwana toka kule tanganyika- Hadza