Nairobi kuzishinda Nigeria na Afrika Kusini kwenye ukuaji

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,368
50,723
  • Nairobi tipped to enjoy 208 per cent expansion rate in consumer expenditure from Sh565.6 billion to Sh1.7 trillion in 2030.
  • The city is expected to be more attractive to businesses dealing in consumer goods and services compared to other leading African cities.

Kenyan cities are tipped to register the highest growth rates in consumer spending over the next 15 years, outpacing the Nigeria, South Africa and Cameroon metropolises.

Research firm Euromonitor International in a new report covering 24 cities projects that consumer expenditure in Kisumu will rise by 277 per cent from $0.6 billion (Sh60.6 billion) in 2015 to $2.2 billion (Sh228 billion) in 2030 at the equivalent of last year’s prices.

The Kenyan lakeside city is followed by Mombasa whose consumer spending is forecast to rise 221 per cent from $1.6 billion (Sh161.6 billion) to $5.1 billion (Sh518.7 billion) over the same period as per the Euromonitor projections.

Nairobi is third with a predicted 208 per cent expansion rate in consumer expenditure from $5.6 billion (Sh565.6 billion) to $17.2 billion (Sh1.7 trillion).

The anticipated growth rates mean Kenya’s cities are expected to be more attractive to businesses dealing in consumer goods and services compared to other leading African cities.

The local cities are followed by Cameroon’s Yaoundé, Nigeria’s Abuja and Cameroon’s Douala whose consumption is forecast to rise by 172 per cent, 170 per cent and 134 per cent from the current levels of $4.6 billion, $9.6 billion and $4.2 billion respectively.

READ: Nairobi tops Africa in leisure spending growth

While Kenyan cities are poised to register the fastest growth in consumption over the review period, the report notes that they are relatively poorer than those in Nigeria and South Africa that have larger absolute consumer spending.

“In contrast, Kenyan cities are relatively poorer. Yet on the positive side, the country’s relatively high Internet usage paves the way for innovative, tech-savvy solutions,” says the Euromonitor report.

“E-commerce companies and tech entrepreneurs will find Kenyan cities particularly appealing.”

The majority of the households, about 92 per cent in Nairobi, Mombasa and Kisumu have an annual income of between zero and $10,000 (Sh1 million).

About six per cent earn between $10,000 (Sh1 million) and $25,000 (Sh2.5 million), with two per cent having an income of more than $25,000 (Sh2.5 million).

The report notes that consumers in the Kenyan cities spend most of their money on basic goods and services including food, transport, housing and leisure.

Food is the largest expenditure item, accounting for 44.3 per cent of Kisumu’s consumer spending, 39.5 per cent of Mombasa’s and 35.1 per cent of Nairobi’s.

Several international food brands have entered Nairobi over the past few years, targeting demand from the growing middle class whose tastes have partly been shaped by global travel. These include Kentucky Fried Chicken, Pizza Hut, and Subway.

Nairobi tipped to outpace SA, Nigerian cities in growth race
 
hii statement maze " Food is the largest expenditure item, accounting for 44.3 per cent of Kisumu’s consumer spending, 39.5 per cent of Mombasa’s and 35.1 per cent of Nairobi’s."

Anyway now i understand why the number of shopping malls in Kisumu is on the rise.
 
yaani ligi yenye tumo ndo iko mentioned kwa huu muktadha,sioni Dar hapa naona tu NIGERIA AND SOUTH AFRICA......
 
yaani ligi yenye tumo ndo iko mentioned kwa huu muktadha,sioni Dar hapa naona tu NIGERIA AND SOUTH AFRICA......
Ninyi huwa wachokozi
Mkiona Watanzania wanawajibu vibaya mnaanza kulialia
Mjiheshimu
 
While Kenyan cities are poised to register the fastest growth in consumption over the review period, the report notes that they are relatively poorer than those in Nigeria and South Africa that have larger absolute consumer spending.

Mh!!!?
 
Naona siku hizi umeanza kujitutumua, ukiendelea hivi nitakuongeza hadhi na kukuona mwenye uwezo wa kujadili hoja na Wakenya, zaidi ya yale makelele yako ya alshabaab.

Sasa hiyo statement uliyosoma hapo, ungesonga mbele kidogo na kukumbana na hii

“In contrast, Kenyan cities are relatively poorer. Yet on the positive side, the country’s relatively high Internet usage paves the way for innovative, tech-savvy solutions,” says the Euromonitor report.

“E-commerce companies and tech entrepreneurs will find Kenyan cities particularly appealing.”
 
yaani ligi yenye tumo ndo iko mentioned kwa huu muktadha,sioni Dar hapa naona tu NIGERIA AND SOUTH AFRICA......
ukiwa kisumu we ni maskini wa mwisho nusu ya hela yako unanunua chakula, robo unalipa nyumba 20% matatu 5% mengineyo.

ukiwa dodoma 5% unanunua chakula, 33% savings + investments, 17 maintenance ya nyumba na vifaa 20% elimu, 25% matumizi mengineyo na hizi hela wanazipata kwa kuwauzia majirani wenye njaa.
 
ukiwa dar, 90% ya nyumba ni informal settlemets ama ukipenda slumish. watu wanaoishi kwa informal settlemets hula vyakula vya bei ya chibi, hawanunui cereals na maziwa breakfast, hawaendi kwa supermarket, wananunua basic foods na wala hawanunui vitu ambavyo ni luxury food,,,,,,,.... elimu nairobi ni ghali lakini quality

ukienda mombasa, nyumba ni rahisi, chakula ni rahisi lakini ukitaka elimu nzuri, ni ghali zaidi
 
baada ya miaka kaa 8 hivi, dar pia itasemekana iko na fastest rising consumer expenditure wakati kenya yake itakua expenditure imeanza kumaintain, alafu utaona akina geza wakileta hio mada hapa na manebo kama dar inapita nairobi sasa!
 
ukiwa dar, 90% ya nyumba ni informal settlemets ama ukipenda slumish. watu wanaoishi kwa informal settlemets hula vyakula vya bei ya chibi, hawanunui cereals na maziwa breakfast, hawaendi kwa supermarket, wananunua basic foods na wala hawanunui vitu ambavyo ni luxury food,,,,,,,.... elimu nairobi ni ghali lakini quality

ukienda mombasa, nyumba ni rahisi, chakula ni rahisi lakini ukitaka elimu nzuri, ni ghali zaidi
weye nakujua unakaa south b nyumba za huko ni mbovu sana ndio maana kodi ipo chini, zinaweza kudondoka wakati wowote na muda wote mnavaa kofia ya pikipiki kujikinga na vitu inadondokanga kwenye nyumba.
 
enda balozi estate alafu ukifika huko ndo uanze kunijibu
 
enda balozi estate alafu ukifika huko ndo uanze kunijibu
kodi nduruu ngapi kwenye haya mabanda ya njiwa?
images.jpeg
 
weye nakujua unakaa south b nyumba za huko ni mbovu sana ndio maana kodi ipo chini, zinaweza kudondoka wakati wowote na muda wote mnavaa kofia ya pikipiki kujikinga na vitu inadondokanga kwenye nyumba.
Kama nyumba za South B ni mbovu si basi Dar es Salaam yote ni slum.
 
hata kuku wa dat hatagi kwenye haya mabanda ya south b
 
Attachments

  • A-building-earmarked-for-demolition.jpg
    A-building-earmarked-for-demolition.jpg
    31.7 KB · Views: 51
Wetlands.jpg
south b ni nzuri kwa mkenya masikini anayefanya kazi masaa tano kupata chakula cha siku moja.
 
kodi nduruu ngapi kwenye haya mabanda ya njiwa?
View attachment 367280
kodi mahali kama hapo ni bei ya kutupa. anyway, hio ndo tofauti ya kenya na tz, huku kenya, for every bad neigh berhood, thers are 2 better neigburhoods Hazina estate south B - house & apartment for rent

angalia hizo estates zote hapo ziko south B, sasa hebu tuambie wewe msoto uliishi wapi ukiwa kenya? nyinyi ndo wale watz huja kuishi mukuruu kwa ruben.

Kule Tz hakuna eatates za middle class, 90% ni vijumba vya lower class alafu hio 10% ndo middle class na upper class wanapigania
 
pleo. unajiokotea mapicha hata si ya south B, bwege kabisa, hizo picha ni za kule majengo yanabomolewa kule huruma, hata unaona zimewekwa alama ya X na NCC (nairobi city council) na moja imeandikwa tenants to vacate imidiatelly, waka kueka picha za uongo ili kudanganya watu na propaganda, ati south B
 
View attachment 367389 south b ni nzuri kwa mkenya masikini anayefanya kazi masaa tano kupata chakula cha siku moja.

I would have taken you serious if you were from Europe but for a Tanzanian to say South B is poor is just absurd.

Here is South B
aerial-view-of-new-modern-housing-developments-suburb-of-south-b-the-AYP4DK.jpg

1747-8_(1).jpg

rwestlands_pride26542c331162a5b.jpg

Compare it with where most people in Dar Es Salaam live.

aerial-view-dar-es-salaam-city-showing-densely-packed-houses-buildings-53799445.jpg

Saa zingine mnafaa kupunguza mashindano ya kijinga.
 
ukiwa dar, 90% ya nyumba ni informal settlemets ama ukipenda slumish. watu wanaoishi kwa informal settlemets hula vyakula vya bei ya chibi, hawanunui cereals na maziwa breakfast, hawaendi kwa supermarket, wananunua basic foods na wala hawanunui vitu ambavyo ni luxury food,,,,,,,.... elimu nairobi ni ghali lakini quality

ukienda mombasa, nyumba ni rahisi, chakula ni rahisi lakini ukitaka elimu nzuri, ni ghali zaidi

Lkn 50% ya wakazi wa Nairobi wanaishi Slums, maana yake ni kwamba hakuna choo, bafu wala maji safi!
 
Back
Top Bottom