Watu wa kenya please advise me about weather ya Nairobi ipoje

Albizo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
284
208
Habari zenu wadau?

Watu wa kenya please advise me about weather ya Nairobi ipoje, nina plan za kuja huko for a month kwanzia tar 20 November.

Shukran sana
 
Jombaa pack nguo ni kama unenda kukwea mlima Kili, huku ni baridi na mvua hadi krismasi.
 
Back
Top Bottom