Nairobi dry land depot not meant for Uganda

Mombasa alone is over 14b
Hako kaRwanda ndio wanashinda wanatupigia makelele usiku na mchana hata unaeza dhani Rwanda ni gamechanger kumbe Aliko Dangote na hiyo $14 billion yake, anaeza nunua Rwanda na Abaki na change. Rwanda ni nchi ndogo sana. Napenda wanawake wao lakini ukweli lazima isemwe.
 
na bandar ya mwanza na portbell ya uganda itafanya kua cheap zaidi na mm nakwambia hilo deni will take kenya 50yrs to pay it yani deni limejaa ufisadi ndani
Sasa wewe kama mtanzania kuna mtu atabisha mlango kwako akuambie utuchangie ?pilipilu usioila mbona yawasha mku*du wako. .. ....nenda ukaambie wenza kwenye trillion 1.5 kwenye zilienda tuache na ya kwetu......
 
Sasa wewe unaongelea Kisumu. Sisi "tutakuwa"Tuki" tunafikisha Mawanza ikibidi Portbell cause meli ya umoja imeshatengenezwa
Distance ya kisumu ni mbali sana. Pili kuhusu Rwanda msahau cause Kagame he is not interested with that route
rudi hapa mkishapata sgr *****
 
Hebu tunawaomba tujikumbushe
Nilichosikia kika nifurahisha, "As they are saying look at the cost ! If your going to make better money through the Southern route who said we should import through Mombasa ? " Meaning the Southern Route is cheaper compared to the Northern Route once Portbell goes to action.. Kunauwezakano mtu kuachwa na maturana..
 
We cannot fight ove ababy antelope as if it's a full grown Elephant... Tutawachia wajichoche nayo.
 
Sasa wewe kama mtanzania kuna mtu atabisha mlango kwako akuambie utuchangie ?pilipilu usioila mbona yawasha mku*du wako. .. ....nenda ukaambie wenza kwenye trillion 1.5 kwenye zilienda tuache na ya kwetu......
hahaha kisa kuambiwa ukweli kua mutasota na deni la SGR 50yrs mwanaume mzima unapandwa na hasira hehehe trillion 1.5 zimefanya kazi kubwa sana ndio maana unaona leo tunakusumbueni
 
Kazi ya Portbell tunaanza na Metergage iliyopo. Tukija SGR kufika Mwanza mtalia machozi. 90% ya bidhaa zitapita Dar Port
Tuna, tuki unitag mkipata iyo portbell unitag ila kwa sasa mimi sitajadili mradi hewa na wewe
 
hahaha kisa kuambiwa ukweli kua mutasota na deni la SGR 50yrs mwanaume mzima unapandwa na hasira hehehe trillion 1.5 zimefanya kazi kubwa sana ndio maana unaona leo tunakusumbueni
Sasa ngoja basi tuone tukisota mimi sitabishana na wewe
 
Kazi ya Portbell tunaanza na Metergage iliyopo. Tukija SGR kufika Mwanza mtalia machozi. 90% ya bidhaa zitapita Dar Port
Tuki, tuki, wapi kiba atutolee ngoma basi juu i choir ni tamu aisee
 
Tuna, tuki unitag mkipata iyo portbell unitag ila kwa sasa mimi sitajadili mradi hewa na wewe
portbell ni ya uganda sisi ndio tunawarekebishia reli yao 9km from port bell to kampala ambayo watakua wanapokea mzigo kutoka mwanza akili inakaa kichwani sio kwenye makalio
 
Tuna, tuki unitag mkipata iyo portbell unitag ila kwa sasa mimi sitajadili mradi hewa na wewe
Ngoja nianze kutag vizuri Kuanzia May mwaka huu Portbell inaanza kazi kwa kutumia meter gage. Unaambiwa garama yake ya kusafirisha mizigo pia itakuwa chini. Hapa sasa SGR haijafika Mwanza mambo ni moto, je itapo fika ?? Angalia YouTube video hadi mwisho kwa mbele kuna kingereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…