Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

Naona report ya better public transport imewauma kweli kweli mpk mmeacha kupost mtumba
 
Ethiopia iko na hivi vyote lkni bado haifiki Kenya sasa Tanzania ni nani
Hua nashangaa hawa jamaa, mara utawaskia sijui, 'tukimaliza kujenga SGR, stegler gorge dam, crude oil pipeline.. etc tutawapita kiuchumi '

Ethiopia wako na hio SGR ya umeme, wako na umeme mwingi, wako zaidi ya watu 100 million, lakini bado hawaja tupita!
 
Tz haijwahi na haitowahi kushindana na nchi yyte ya Africa, cc lengo letu ni kuwa km Europe, ss tuanze kushindana na nchi yenye maslums kuliko nchi zote duniani ili tugundue nn kwa mfano
 
Nyie mafala mbn mpo kmy humu kwa huu uzi? Au ndo mshauzoea mtumba ndo mnagundua kuwa mlipigwa, yn karne ya 21 bado mnanunua mitumba!! WTF, hebu oneni the most developed country in EA
 

Attachments

  • Screenshot_2020-11-28-11-09-03.png
    158.3 KB · Views: 9
  • Screenshot_2020-11-28-09-21-30.png
    175.2 KB · Views: 8
  • Screenshot_2020-11-28-09-00-16.png
    213.6 KB · Views: 7
Most modern transport iko wapi we mwehu nn yn mtumba unaita modern, fala ww hii hapa phase 2 brt network call it the most modern transport network within the EAC countries


HAHAHAHA, niliwaambia hata phase 2 bado haijakamilika na World bank wamekasirika sana kwa huo uzembe. Bado ni hile tu 21km ya phase 1. World bank kwa sahi wanaona hawatatoa mkopo ingine kwa BRT ya Tanzania.

Yani sub saharan africa kumbe ni south africa na Kenya ndizo ziko na commuter rail transport inapita 200km. Nyinyi wengine bado ni kukimbizana na basi.

Unakumbuka nikikupasha habari kuwa phase 1 iko na laini 5 za 200 km? Basi hivi juzi wameenda kwa kasi mpaka laini ya 6 iliyokuwa imalizwe phase 2 imeanza kazi Nairobi Central station mpaka Athi river. Na february 2021 treni ni mpaka ndani ya JKIA.

Nyinyi BRT bado mnakimbizana na laini moja ya 21 km.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…