Naipenda Sana Tanganyika Huru

Naipenda Sana Tanganyika Huru

Emashi

Senior Member
Joined
May 24, 2012
Posts
138
Reaction score
26
Uhuru wa Serikali ya Tanganyika na Mapinduzi Zanzibar,najua!Lakini Tanzania ilipata uhuru mwaka gani?
 
Kijana , wewe sasa naona lengo lako kumchokoza Nape , au na wewe unakaribia kufa kama wale wazee wa ccm aliowananga juzi ?
 
Kijana , wewe sasa naona lengo lako kumchokoza Nape , au na wewe unakaribia kufa kama wale wazee wa ccm aliowananga juzi ?
BORA UAMINI yANGA ITAMSAJILI NEYMAR dA SILVA KWA THUMNI, KULIKO KUAMINI tanganyika itakuwa huru!
 
Mzee kuishi ni kazi na kufa ni cha wote.Hivi Nape ni nani? Tanzania ni nchi iliyopata uhuru lini?Nipe jibu,au......
 
Sawa kabisa. Ila Tanganyika iko huru ndani ya mioyo ya Watanganyika. Tanzania ni huru tangu lini?
 
Back
Top Bottom