Naililia CHADEMA yangu

Chadema ndiyo basi tena angalia huu ushahidi Lema alikuwa anampa Yericko.

Lema.bmp (1.11 MB, 0 views)

Teh teh teh
 
Hapa unaendekeza mgogoro.Na pia kama huna taarifa za kutosha usiwe mwepesi wa kurusha lawama

Lema alianzishaje migogoro ? Na katika thread hii utaungwa mkono na vijana wa CCM.

Kama kuna mahali umehisi/ona mtu hajaelewa wewe ungepaswa kumwelewesha ili asitumbukie kwenye hiyo mikono ya vijana wa ccm!!otherwise ni kama vile unamwongoza njia ya kuelekea huko usikotaka aelekee,majibu ya namna hii ni mgogoro mwingine.
 
Chadema ndiyo basi tena angalia huu ushahidi Lema alikuwa anampa Yericko.

Lema.bmp (1.11 MB, 0 views)

Teh teh teh

Yericko is a mental case. Ukichanganya na bangi za Lema mwisho wake ndio huu.

Nimeshangaa kuona ujasiri wa Lema wa kuongea pumba hadharani umepotea ghafla baada ya kuombwa ushahidi!!!
 
Slaa mlitumia nguvu kubwa sana kukijenga chama na naibu wako mlipokuwa pamoja bungeni inakuwaje leo husemi chochote mwenzio tena msaidizi wako anapodhalilishwa na mtu mnayemwongoza?

Slaa alikuwa anagonga likes kwenye posts mbalimbali zinazompiga vijembe Zitto.

Hapo nadhani msimamo wake kashauweka bayana. Sio lazima atamke kwa kinywa, vitendo vyake vimetosha kufikisha ujumbe.
 
Kuna vijana wawili hapa nao naona wamegive-up.
Chadema kuwapoteza hawa vijana ni pigo kubwa kwani wamewezakuteka mtaa mzima na sasa wamejiondoa.
 
Hata HITLER alichaguliwa kwa kura,A town wamemchoka.Mji una Heshma na hadhi yake wanampa BOX!!!. wanajuta kukurupuka .
 
Saanane Hivi unalipwa bei gani kwa siku mkuu
 

Mwimbo ni ule ule umejitahidi kubadilisha BEAT tu na wachezaji wenzako ni wale wale akina Ritz, zeMarcopolo, MSALANI na Maskini mkulima.
 
When the going get tough the tough get going!
 
Kuna vijana wawili hapa nao naona wamegive-up.
Chadema kuwapoteza hawa vijana ni pigo kubwa kwani wamewezakuteka mtaa mzima na sasa wamejiondoa.

Unakabiliwa na Mental Hallucination
 

Hivi ulifikiri Ben atasema nini??? hapo ungekuwa umemshutumu zitto na kumwita mlarushwa ange like na kukusapoti,,,ila kwakuwa umemkosoa lema ndio maana anasema hivyo,,,kama yeye yuko bila kuegemea upande kwanini asiwashauri vijana wengine waache kumchafua zitto????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…