Wakuu,
Leo nimeikumbuka sana TRC, nimeikumbuka baada ya kusoma habari kutoka kwa wenzetu wa South Africa wamezindua Treni iendayo kwa kasi toka Johannesburg hadi Pritoria. Nikafikiria sana kuona jinsi Shirika letu tulivyoliua kwa makusudi, Reli ya kati ipo hoi bin taaban - kwa mbali nikahisi kutokwa na machozi hasa nikikumbuka enzi hizo nikiwa mwanafunzi tukisafiri kwa Warrant Collectitive ambapo Serikali yetu wakati huo chini ya Mwalimu Nyerere ilitulipia BURE!! kwenda na kurudi majumbani kwetu baada ya shule kufungwa.
Naenda mbali zaidi nakumbuka baadhi ya vituo maarufu, kweli inasikitisha sana, kwa mlio safiri kwa Treni enzi hizo basi mtajikumbusha baadhi ya Vituo.
Station ya Salanda: (Moshi Hotel) Kuku choma, Pilau la nguvu, mishikaki bei cheee...
Station ya Kitinku: Kuku mishikaki...Ubuyu.
Station ya Itigi: Igalula na Goweko i: Asali Mbichi
Station ya Aghondi: Ubuyu na vigoda asilia
Station ya Bahi: Ubuyu na mikeka asiliya
Station ya TABORA: Abilia chunga mzigo wako - ukizubaa tu WAFWAAAA......
Station ya Fela: Hapo mzee unaliona jiji Hiloo la mwanza......
Station ya Mwandiga: (Kwa Mh. Zitto): Migebuka bei cheee....
Station ya Vigunguti to DSM ... Walete haoooooo, waleteee haooo wa kujaaaaa, walete hao wa baraaaaa.....
Jamani zamani RAHA tupu.......
Sasa hivi hakuna habari inayofurahisha, ni huzuni kila kukicha hasa habari za WIZI wa mali za umma ndiyo zinatamba kwa sasa, watu wanafikia hatua hata ya kulihonga Bunge: kweli SHETANI yupo kazini.
Mkuu, umekumbusha mbali sana hivi pale Salanda wale kuku mbona walikuwa wakubwa sana halafu bei raisi,<font size="3"Wakuu,
Leo nimeikumbuka sana TRC, nimeikumbuka baada ya kusoma habari kutoka kwa wenzetu wa South Africa wamezindua Treni iendayo kwa kasi toka Johannesburg hadi Pretoria. Nikafikiria sana kuona jinsi Shirika letu tulivyoliua kwa makusudi, Reli ya kati ipo hoi bin taaban - kwa mbali nikahisi kutokwa na machozi hasa nikikumbuka enzi hizo nikiwa mwanafunzi tukisafiri kwa Warrant Collectitive ambapo Serikali yetu wakati huo chini ya Mwalimu Nyerere ilitulipia BURE!! kwenda na kurudi majumbani kwetu baada ya shule kufungwa.
Naenda mbali zaidi nakumbuka baadhi ya vituo maarufu, kweli inasikitisha sana, kwa mlio safiri kwa Treni enzi hizo basi mtajikumbusha baadhi ya Vituo.
Station ya Salanda: (Moshi Hotel) Kuku choma, Pilau la nguvu, mishikaki bei cheee...Station ya Kitinku: Kuku mishikaki...Ubuyu.Station ya Itigi: Igalula na Goweko i: Asali MbichiStation ya Aghondi: Ubuyu na vigoda asiliaStation ya Bahi: Ubuyu na mikeka asiliyaStation ya TABORA: Abilia chunga mzigo wako - ukizubaa tu WAFWAAAA......
Station ya Fela: Hapo mzee unaliona jiji Hiloo la mwanza......aka ZOO...
Station ya Mwandiga: (Kwa Mh. Zitto): Migebuka bei cheee....
Station ya Vigunguti to DSM ... Walete haoooooo, waleteee haooo wa kujaaaaa, walete hao wa baraaaaa.....
Jamani zamani RAHA tupu.......
Sasa hivi hakuna habari inayofurahisha, ni huzuni kila kukicha hasa habari za wa mali za umma ndiyo zinatamba kwa sasa, watu wanafikia hatua hata ya kulihonga Bunge: kweli SHETANI yupo kazini.font
cha kufurahisha zaidi nishawah kusafir kutoka tabora mpaka dom nimesimama, behewa lilikuwa limejaa magunia ya mahindi utafkiri gusi.
ndo mana mashirika yamekufa. Unajua nyie wa zamani mmesoma bure, afya bure, usafir ndo kama hvyo mtoa mada alivyosema. Na mlipo ingia madarakani mkawa na ule mtazamo wa bure bure tu. Hamuoni tabu kujichotea, mkiuza mnauza bei sawa na bure. Yaani nyie wazee mna matatizo sana. Afu mwaanza kulalamika ooh maadili yameshuka, wakati haya yote mmesababisha nyie. We unataka kijana afanye nn ikiwa wewe ulo mtangulia una chakachua?
Mkuu Fuso umenitoa pangoni...make nakumbuka enzi zile kulikuwa na mabehewa ya wanafunzi hasa nyakati tunazofunga shule...yaan wale wezi wa Tabora nao walikuwa wanayajua mabehewa ya wanafunzi.. make akikamatwa mwizi alikuwa anashughulikiwa ile mbaya...................................Wakuu,
Leo nimeikumbuka sana TRC, nimeikumbuka baada ya kusoma habari kutoka kwa wenzetu wa South Africa wamezindua Treni iendayo kwa kasi toka Johannesburg hadi Pretoria. Nikafikiria sana kuona jinsi Shirika letu tulivyoliua kwa makusudi, Reli ya kati ipo hoi bin taaban - kwa mbali nikahisi kutokwa na machozi hasa nikikumbuka enzi hizo nikiwa mwanafunzi tukisafiri kwa Warrant Collectitive ambapo Serikali yetu wakati huo chini ya Mwalimu Nyerere ilitulipia BURE!! kwenda na kurudi majumbani kwetu baada ya shule kufungwa.
Naenda mbali zaidi nakumbuka baadhi ya vituo maarufu, kweli inasikitisha sana, kwa mlio safiri kwa Treni enzi hizo basi mtajikumbusha baadhi ya Vituo.
Station ya Salanda: (Moshi Hotel) Kuku choma, Pilau la nguvu, mishikaki bei cheee...
Station ya Kitinku: Kuku mishikaki...Ubuyu.
Station ya Itigi: Igalula na Goweko i: Asali Mbichi
Station ya Aghondi: Ubuyu na vigoda asilia
Station ya Bahi: Ubuyu na mikeka asiliya
Station ya TABORA: Abilia chunga mzigo wako - ukizubaa tu WAFWAAAA......
Station ya Fela: Hapo mzee unaliona jiji Hiloo la mwanza......aka ZOO...
Station ya Mwandiga: (Kwa Mh. Zitto): Migebuka bei cheee....
Station ya Vigunguti to DSM ... Walete haoooooo, waleteee haooo wa kujaaaaa, walete hao wa baraaaaa.....
Jamani zamani RAHA tupu.......
Sasa hivi hakuna habari inayofurahisha, ni huzuni kila kukicha hasa habari za WIZI wa mali za umma ndiyo zinatamba kwa sasa, watu wanafikia hatua hata ya kulihonga Bunge: kweli SHETANI yupo kazini.
Tulikuwa tunaambiwa kuku wa salanda ni kunguruMkuu, umekumbusha mbali sana hivi pale Salanda wale kuku mbona walikuwa wakubwa sana halafu bei raisi,
Nakumbuka Fela wakati wa likizo tukifika pale tunanunua zawadi za ndege za mbao za kuchonga, Sungura wa mbao, Kasuku wa mbao!
Na wewe kizazi kipya umefilisi ATC,TANESCO NA SERIKALI YENUndo mana mashirika yamekufa. Unajua nyie wa zamani mmesoma bure, afya bure, usafir ndo kama hvyo mtoa mada alivyosema. Na mlipo ingia madarakani mkawa na ule mtazamo wa bure bure tu. Hamuoni tabu kujichotea, mkiuza mnauza bei sawa na bure. Yaani nyie wazee mna matatizo sana. Afu mwaanza kulalamika ooh maadili yameshuka, wakati haya yote mmesababisha nyie. We unataka kijana afanye nn ikiwa wewe ulo mtangulia una chakachua?