Naibu waziri wa ardhi na nyumba, Mh. Mabula ameonyesha njia

ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,205
2,692
Wana bodi habari ya asubuhi na weekend njema.

Kwa wale mlioangalia taarifa ya habari ya jana ya ITV mliona Mh. Angelina Mabula naibu waziri wa wizara ya Mh LUKUVI akihojiwa na mtangazaji Sam Mahela akiwa mjini Mwanza kuhusu ziara yake mikoa sita akishughurikia migogoro na kero za wazara ya ardhi.

Aliulizwa maswali kadha wa kadhaa na kuyajibu vizuri sana ila pasipo kujua alijiingiza mwenyewe kwa wale wacheza mchezo wa draft wanaita force king.

Ilikuwa hivi, alieleza namna alivyozishughurikia kero mbali mbali za ardhi na kuacha maagizo kuwa maafisa ugani waende field kuzitatua kero hizo, alisema maofisa wa ardhi waende field kushughurikia kero hizo bila kudai posho yoyote kwani ni kazi yao wanayoifanya katika masaa nane ya kazi, hawastaili kabisa kudai posho yoyote.

Force king ni kwamba posho yao ya vikao vya bunge imekuwa ikilalamikiwa siku nyingi na wananchi na wabunge wenyewe haistaili kuwepo kwa sababu ni kazi yao na vikao hivyo huvifanya ndani ya masaa nane ya kazi.
Mh. Mabula kasema kuhusu posho ya field ya watumishi wa ardhi kuwa haitakiwi mtu kudai kwani yuko kazini na posho ya vikao vya wabunge je?? Kwa nini iwepo? Hebu Mtangazaji Sam Mahela mtafute mheshimiwa huyu ajibu swali hili utuletee majibu leo jioni saa mbili.
 
Mabula kamshika kipofu mkono wakati wanakula!Ila kwa Magu aisee hizo posho watafita japo najua Kibajaji atasusia na kutoka ukumbini
 
1465572720570.jpg
 
Back
Top Bottom