johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,486
- 142,728
Dr Biteko: Nimeambiwa majukumu yangu ni Kufanya Coordination na katiba inakutuma ufanye nini?Naibu Waziri mkuu mh Dr Dotto Biteko ameripoti Ofisi ya Waziri mkuu na kupokelewa na PM Kasim Majaliwa
Dr Biteko amesema atamsaidia Waziri mkuu kwa Uaminifu mkubwa na anaamini Kupata Ushirikiano wa kutosha kutoka kwa Mawaziri wakongwe na Wabobezi Prof Ndalichako na mh Mhagama
Nimeambiwa Kazi yangu ni my coordinate nami namshukuru mh Rais kwa uteuzi na naahidi nitamsaidia Waziri mkuu kwa Uaminifu mkubwa, amesema Biteko
Source: Upendo TV
Nawatakia Dominica Njema ๐
Kama cheo hakipo kikatiba unafikiri katiba yake si itakuwa mdomo wa mtu au we waonajeDr Biteko: Nimeambiwa majukumu yangu ni Kufanya Coordination na katiba inakutuma ufanye nini?
Siasa tamu wanakula kiulaini...yaani kazi ndogo malipo makubwa
Kwakweli !Siasa tamu wanakula kiulaini...yaani kazi ndogo malipo makubwa
Kama hukupigwa ule moshi wa Ruangwa nimekaa paleNaibu Waziri mkuu mh Dr Dotto Biteko ameripoti Ofisi ya Waziri mkuu na kupokelewa na PM Kasim Majaliwa
Dr Biteko amesema atamsaidia Waziri mkuu kwa Uaminifu mkubwa na anaamini Kupata Ushirikiano wa kutosha kutoka kwa Mawaziri wakongwe na Wabobezi Prof Ndalichako na mh Mhagama
Nimeambiwa Kazi yangu ni my coordinate nami namshukuru mh Rais kwa uteuzi na naahidi nitamsaidia Waziri mkuu kwa Uaminifu mkubwa, amesema Biteko
Source: Upendo TV
Nawatakia Dominica Njema
Kwamba Kassim amefeli kwenye coordination..? Yeye si ndio amemfelisha kassim na mawaziri wote smart ili wasimfunike..awape makali wapige kazi aone kama atasikika japo sifa zitamrudia yeye..ila hilo halijui sababu ye anawaza urais 2025 tu hadi amepata upofu wa upeo.
Zamani tuliona mawaziri wakishindana kukimbizana na kuisimamia miradi ya serikali na kutoa updates kwa kila hatua..walitupa viwango vya thamani na thamani ya fedha kwa miradi hiyo..muda mwingi walikuwa field na tulitambua ummy leo yupo wapi, biteko yupo wapi, kalemani yupo mkoa gani na wengine..leo mi hata simjui waziri wa elimu, waziri wa mali asili na utalii, waziri wa viwanda na biashara..sijui hata wanachofanya.
Bora huo mkoa hajautembelea kuepuka kero za msafara wakati tija za yeye kutembelea hiyo mikoa mingine huwa hakuna!!.Ukiona Rais anamteua Naibu Waziri mkuu ni wazi uongozi umemlemea.
Kuna mkoa hapa Tanzania Mama Abdul hajawahi kuutenbelea! Unaufahamu?
Jafo alikuwa manii msanii na mwongo sana. Kuna wakati alisema wameajiri walimu elfu 13 kumbe hata elfu moja hawakufika. Waliweka majina ya waliopo kazini tayari halafu wakaziga na mapya elfu moja. Halafu ajira zilikuwa zinaangalia chama. Ukiwa ccm ilikuwa simple kupataJafo alikua anakimbiza tamisemi. Lakini kwa sasa ata haijulikani kama bado ni waziri sehemu. Labda mchengelwa asiye na adabu ya kumuonyesha kifua chake mamkwe ndo anajitahidi kwa kubebwa kila anakokwenda
Naye atakuwa akisafishiwa njia kwa ving'ora vya TPF?Naibu Waziri mkuu mh Dr Dotto Biteko ameripoti Ofisi ya Waziri mkuu na kupokelewa na PM Kasim Majaliwa
Dkt. Biteko amesema atamsaidia Waziri mkuu kwa Uaminifu mkubwa na anaamini Kupata Ushirikiano wa kutosha kutoka kwa Mawaziri wakongwe na Wabobezi Prof Ndalichako na mh Mhagama
Nimeambiwa Kazi yangu ni my coordinate nami namshukuru mh Rais kwa uteuzi na naahidi nitamsaidia Waziri mkuu kwa Uaminifu mkubwa, amesema Biteko
Chanzo: Upendo TV
Nawatakia Dominica Njema ๐
Hata Kanisani atakuwa na Kiti chake!Naye atakuwa akisafishiwa njia kwa ving'ora vya TPF?