nahtaji kujiendeleza ktk uganga

dr chris

Member
Sep 23, 2011
76
12
wanajami f na hasa wenye fani husika mi ktk fani ni nurse assistant pia nimepata mafunzo ya utoaji dawa kwa usahihi yani addo yanayotolewa na tfda.shida yangu wapendwa ningependa kujiendeleza ktk fani ya uganga yaani c/a au c/o au vyuo vingne vya kati navipata wapi jamani hepi nipen wazo kwani nafasi za sasa ningumu kupata. nina wito saana kutumikia wa tz wenzangu kwa sasa natumika ktk duka la dawa mhimu lijulikanalo kama CHRISTIAN DLDM lipo halambo mbozi
 
nilidhani unataka kujiendeleza kwenye uganga wa jadi, ningekusaidia mara moja. Nina mkoba wa urithi
 
Back
Top Bottom