Nahodha amewekwa pale kama boya tu; wameona wakiwaweka wawili Bilal na Shein na halafu wakafanya mambo yao na Shein akapitishwa basi itakuwadhahili kuwa wamemfanyizia Bilal ambaendio kipenzi cha wazenj!! Nawataarifu wabara kuwa ikitokea kuwa Bilal ametoswa tena mara hii mjue wazi wabara mtajua watu wa zenj ni wa aina gani!