Nahitaji ya Gari ndogo... Budget 6.5M

Nahitaji ya Gari ndogo... Budget 6.5M

KingKimpa

Member
Joined
Feb 5, 2018
Posts
50
Reaction score
60
Wakuu, kichwa cha habari kinahusika..
Nahitaji kagari kadogo kadogo cha kimjini mjini, kama IST, Vitz, Allex, Raum au Sienta... Budget inaweza kupanda kidogo kama gari itakua imesimama... Kama una gari njoo inbox.

Naomba kuwasilisha...
 
Kaka kwenye Website za Magari kama Zoom, Kupatana, etc ushaenda?
Ni hatari sana kwa mwenye hela kujitangaza kutafuta gari kuliko Mwenye gari kuitangaza anatafuta Mteja
 
Nimettembelea sana man... Madalali wengi. Istoshe wanakuzungusha hata kama wanajua gari wanazokuonyesha haziendani na bajeti. Ako.
Hapa naamini kusomwa na owners na sio madalali mkuu
 
Poa Poa Mkuu wangu,
Kila la heri,
Ila hapa husomwa pia na Matapeli so kua makini
 
Wakuu, kichwa cha habari kinahusika..
Nahitaji kagari kadogo kadogo cha kimjini mjini, kama IST, Vitz, Allex, Raum au Sienta... Budget inaweza kupanda kidogo kama gari itakua imesimama... Kama una gari njoo inbox.

Naomba kuwasilisha...
Mkuu nakushauri chukua sienta, usije jaribu ist zipo nyingi sana mjini
 
Kama unamaanisha kuwa nayo kama usafiri wangu ndiyo ila kama nimeinunua hapana.

Wiki iliyopita nimetoka nayo Dar hadi Mbeya.
Ok, unajisikiaje ukivaa shati flan halafu unafika job unakuta wafanyakazi wenzio kama wa3 wamevaa kama shati lako!?
 
Back
Top Bottom