funzadume JF-Expert Member Joined Jan 28, 2010 Posts 13,650 Reaction score 21,485 Sep 20, 2021 #1 Wadau ninatafuta wheel chair nielekezeni maduka yenye bei ya kawaida. Nahitaji leo nataka kutoa msaada sehemu
Wadau ninatafuta wheel chair nielekezeni maduka yenye bei ya kawaida. Nahitaji leo nataka kutoa msaada sehemu
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,718 Reaction score 126,563 Sep 20, 2021 #2 funzadume said: Wadau ninatafuta wheel chair nielekezeni maduka yenye bei ya kawaida. Nahitaji leo nataka kutoa msaada sehemu Click to expand... Ngoja waje kukupa muongozo. Pia ungejazia nyama basi, aina unayotaka, najua zipo za aina tofauti kulingana na size
funzadume said: Wadau ninatafuta wheel chair nielekezeni maduka yenye bei ya kawaida. Nahitaji leo nataka kutoa msaada sehemu Click to expand... Ngoja waje kukupa muongozo. Pia ungejazia nyama basi, aina unayotaka, najua zipo za aina tofauti kulingana na size
funzadume JF-Expert Member Joined Jan 28, 2010 Posts 13,650 Reaction score 21,485 Sep 20, 2021 Thread starter #3 Mwifwa said: Ngoja waje kukupa muongozo. Pia ungejazia nyama basi, aina unayotaka, najua zipo za aina tofauti kulingana na size Click to expand... Size kubwa kabisa naipeleka kwa mgonjwa mmoja ni mzee
Mwifwa said: Ngoja waje kukupa muongozo. Pia ungejazia nyama basi, aina unayotaka, najua zipo za aina tofauti kulingana na size Click to expand... Size kubwa kabisa naipeleka kwa mgonjwa mmoja ni mzee
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,709 Reaction score 35,701 Sep 20, 2021 #4 funzadume said: Size kubwa kabisa naipeleka kwa mgonjwa mmoja ni mzee Click to expand... Around Muhimbili nadhani kuna maduka ya vifaatiba kajaribu ukikosa utaelekezwa vinapopatikana.
funzadume said: Size kubwa kabisa naipeleka kwa mgonjwa mmoja ni mzee Click to expand... Around Muhimbili nadhani kuna maduka ya vifaatiba kajaribu ukikosa utaelekezwa vinapopatikana.
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,718 Reaction score 126,563 Sep 20, 2021 #5 funzadume said: Size kubwa kabisa naipeleka kwa mgonjwa mmoja ni mzee Click to expand... Hapo umetoa muongozo sasa
funzadume said: Size kubwa kabisa naipeleka kwa mgonjwa mmoja ni mzee Click to expand... Hapo umetoa muongozo sasa