nipo tayari kufanya kazi hata kwa kujitolea,lengo langu ni kuongeza ujuzi katika fani yangu.nina diploma ya computer science na pia ninaendelea na degree ya information systems and management,ninajua kutengeneza website kwa kutumia joomla,HTML pamoja wordpress.kwa mawasiliano zaidi 0766866683 asante