Asante mkuu,hao Cotex wako maeneo gani?
Unaweza kuni"pm" later nikupe details zote unazohitaji juu ya fence wire... Mpaka na gharama za installation kama utahitaji.... (0789830396)
Sent using Jamii Forums mobile app
Standard fence wire ya gauge ya 2.5mm ni kuanzia 90,000/= mpaka 100,000/=
Sent using Jamii Forums mobile app
SwadactaStandard fence wire ya gauge ya 2.5mm ni kuanzia 90,000/= mpaka 100,000/=
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei hii ni kwa roll au nini? Na roll linakuwa na urefu gani lote??
Ziko wapi mkuu nataka rolls 6 na iliyo nziru inauzwaje