Wanajukwaa ndio naanza maisha naomba msaada wapi hapa dar naweza pata kitanda cha kueleweka cha mbao ngumu za kudumu lakini kwa bei affordable??! Nimepita manzese na magomeni bei affordable lakini mbao zao sio imara... Msaada tafadhali nimechoka kulala sakafuni😥😥
Ucjidanganye na kufata kitanda ikwiriri watu wa misitu wamejitengenezea njia yao ya kudhibiti mali asili hivyo kweli utanunua kwa 120,000/= na usafiri 120,000/= utakuta umelipa 240,000/=
Ucjidanganye na kufata kitanda ikwiriri watu wa misitu wamejitengenezea njia yao ya kudhibiti mali asili hivyo kweli utanunua kwa 120,000/= na usafiri 120,000/= utakuta umelipa 240,000/=