Nahitaji Vifungashio

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,323
Reaction score
4,551
Habari wadau;
Kwa anayejua wapi naweza kupata vifungashio kwa Dar es Salaam au Moshi Mjini na kwa gharama nafuu anijulishe pamoja na gharama zake
Nahitaji vifungashio vifuatavyo:
Maboksi,Mifuko migumu ya plastic,Vikopo vidogo kilo moja na nusu kilo



Mwenye taarifa tupeane dili
 
Habari wadau;
Kwa anayejua wapi naweza kupata vifungashio na kwa gharama nafuu;
Nahitaji vifungashio vifuatavyo:
Maboksi,Mifuko migumu ya plastic,Vikopo vidogo kilo moja na nusu kilo

Mwenye taarifa tupeane dili
Kama upo dsm nenda k/koo sokoni
 
Husemi hata ulipo unasaidiwaje? Mtu wa dar anaweza kukuambia Nenda k.koo kumbe upo itigi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…