Nahitaji vifungashio

Nahitaji vifungashio

Mashaka10

Member
Joined
Jun 2, 2017
Posts
12
Reaction score
4
Habari zenu, naomba kwa mwenye utaalamu wa kutengeneza vifungashio vya ufuta tuwasiliane tufanye biashara.
Namba yangu ya simu ni 0752719412 napatikana pia WhatsApp kwa namba hiyo, mwenye utaalamu jamani tusaidiane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahitaji wa vifungashio vya plastic vilivyo bora karibuni.

Vipo vya ujazo tofauti kama inavyoonekana hapo chini na bei yake tumeambatanisha

1Kg = bei Tsh 550/= @ bag
Nusu kilo = bei Tsh 350/= @ bag
Robo kilo = bei Tsh 250/= bag
140g = bei Tsh 150/= bag

Free delivery kwa waliopo Dar es salaam na kwa waliopo mikoani tunatuma pia.

Contacts: 0718167671
0652361559
 

Attachments

  • images (1).jpg
    images (1).jpg
    25.7 KB · Views: 63
  • unnamed.jpg
    unnamed.jpg
    11.3 KB · Views: 65
Wahitaji wa vifungashio vya plastic vilivyo bora karibuni.
1Kg = bei Tsh 550/= @ bag
Nusu kilo = bei Tsh 350/= @ bag
Robo kilo = bei Tsh 250/= bag
140g = bei Tsh 150/= bag
Contacts: 0718167671
0652361559
Nikihitaji vifungashio vya 5kg, 10kg, 20kg na 50kg unaweza tengeneza!?
 
Ukihitaji lebo kwa ajili ya vifungashio vya bidhaa nione mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom