AMO MTAFUTAJI Member Joined Nov 26, 2017 Posts 15 Reaction score 5 Feb 15, 2019 #1 Jamani ninataka kufungua bakery nimepata changamoto ya vifungashio kwa yeyote anayefanya biashara hii ya vifungashio anitafute ninashida hiyo sana kwa sasa Naomba sana msaada wenu asanteni
Jamani ninataka kufungua bakery nimepata changamoto ya vifungashio kwa yeyote anayefanya biashara hii ya vifungashio anitafute ninashida hiyo sana kwa sasa Naomba sana msaada wenu asanteni