mkuu rekebisha hiyo subject, hivyo ni vifaa vya Stationery na sio Stationary,,,[h=1]Nahitaji Vifaa Vya Stationary[/h]Binder,Scanner.Printer.Photocopy machine. Lamination machine. na Meza ya computer ukitaka kuniuzia niuzie kwa bei ndogo kidogo!
sema bajeti yako una kiasi gani m.nina canon copier 3 heavy duty2 na desk top1 .printer1laminating machine 1 deskop computer 2sijafungua ofisi.niko nje msimamizi tatizo sina msimamizi sema bajeti yako .extra desk top awaiting shipping to TzBinder,Scanner.Printer.Photocopy machine. Lamination machine. na Meza ya computer ukitaka kuniuzia niuzie kwa bei ndogo kidogo!
sema bajeti yako una kiasi gani m.nina canon copier 3 heavy duty2 na desk top1 .printer1laminating machine 1 deskop computer 2sijafungua ofisi.niko nje msimamizi tatizo sina msimamizi sema bajeti yako .extra desk top awaiting shipping to Tz

Hebu toa maelezo ya kutosha. Mimi nahitaji copier moja na desktop 1 lakini hebu eleza specifications zake. Copier ni aina gani, model gani na specs za PC
canon copier zote ni ir moja ni desk top nyingine heavy duty .kuna nyingine tena heavy duty ipo zenj inasubiri kuletwa bara .na desk top nyingine inasubiri shipping to Tz .specification za pc nitazituma
nahisi iwe stationery stationary ulielewa budget sh 900000
Meza moja, mult puporse printer laser jet ina print, scan na photocopy, binding mashine, mashine ya kukata karatas, kiti kimoja, ukihitaji na kabati ya aluminnium na vioo ya kuwekea vitu, mashen ya kukata vitu katika size na shape ya business card, na inkjet coloured printer, na vitu vingine vidogog vidogo vya stationery.
Anayehitaji ani pm vyote used nilikuwa navitumia ila kwa sasa viko store baada ya kuifunga.
nahisi iwe stationery stationary ulielewa budget sh 900000