M Mahabuba Member Joined Nov 2, 2013 Posts 34 Reaction score 5 Nov 13, 2013 #1 Habari wakubwa, nahitaji vifaa vya saloon ya kike kama blower dryer, pasi ya nywele na vitu vidogo vidogo mwenye navyo tuwasiliane 0769206292.
Habari wakubwa, nahitaji vifaa vya saloon ya kike kama blower dryer, pasi ya nywele na vitu vidogo vidogo mwenye navyo tuwasiliane 0769206292.
Tambara Bovu JF-Expert Member Joined Dec 19, 2007 Posts 585 Reaction score 141 Nov 13, 2013 #2 hivyo vitu vidogo vidogo ni kama nini?nijuze naweza kukusaidia
M Mahabuba Member Joined Nov 2, 2013 Posts 34 Reaction score 5 Nov 13, 2013 Thread starter #3 Mkuu ni kitu chochote kinachohusiana na saloon ya kike