Habari wana JF
Kama kichwa cha tangazo kinavyosema, nahiuhitaji wa vifaa mbalimbali kwa ajil8 ya biashara ya chips(viazi). Vifaa hivyo ni kama jiko liwe la rimu au maranda, kabati ya aluminium, meza ya kabati, na karai
Nipo dar es Salaam, nichek kama unavyo vifaa hivyo