Wadau nisaidieni wapi naweza pata vifaa vya bakery kama Oven kubwa, Mixer na vingine vinavyo hitajika kwe biashara hii. Bila kusahau ushauri kutoka kwa yeyote mwenye experience na biashara hii.

Asanteni.
Wasiliana na muhusika wa namba hii, 0713 555000 yeye ni mmiliki wa bakery kubwa jijini Dar Es salaam, pia ni wakala wa ungizaji wa vifaa vya Altuntop ni moja ya makampuni bora ya vifaa vya bakery ulimwenguni,