Kama kuna mtu mwenye vifaa kwa ajili ya Saluni ya kiume na anaviuza kwa bei poa tuwasiliane.
Ninataka kununua Viti, Mashine za kunyolea, Makochi, pamoja na vifaa vinginevyo vinavyohitajika kwa ajili ya kuanzisha hii biashara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.