Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,937
Wapendwa naomba kama kuna mtu mwenye ufahamu wapi naweza pata CD,VHS,VCD au DVD za mambo ya watoto anifahamishe ..
Mwanangu anacatch vitu mapema mno na akishika hasahu sasa kabla hajaanza kuangalia akina Dimondo,Wema na Omy Dimpoz ningependa kumpa mapenzi ya kuanza kujifunza vitu vingi vya dunia mapema ana miaka minne anajua kuhesabu na kuataja herufi zote kwa kuimba na kwahara hata ukimuanzishaia katikati yeye anakwambia umeruka.
Rafadhalini nisaidieni.