Nahitaji Vanilla

Nahitaji Vanilla

puruwanji

Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
81
Reaction score
28
Naomba msaada wapi naweza kupata vanilla iliokuwa tayari kwa matumizi ila kwa bei ya jumla na ningependa pia kujua na bei zake
 
Wakuu habari zenu naomba msaada kwa anaeuza vanilla nahitaji vanilla kavu kwa alie nayo au anaejua mtu anaeuza naomba msaada huo tafadhali
 
Dah! tafta MAYAWA KAGERA ndio wafadhir wa wakulima wa vanila mkoa wa kagera wanaweza kukupa ABC
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom