Mkuki kwa nguruwe......
Sioni kama kuna tatizo we endelea tu na mapenzi kwa wake zako,kuoa mke mwingine sio solution na hata yy atakua na kidumu tu. Kwaheri
Ahhh well, kama we unaona unastahili kuwa na wawili na wao wameona isiwe tabu. Wenzio nao wana mahitaji ambayo pengine wanahitaji kuyatimiza kila siku kama ufanyavyo wewe kwahiyo wanafanya lile linalowapa wanachohitaji.
Naomba nisichangie zaidi maana mimi naona kuwa na wake wawili au zaidi ni tabia ya kibinafsi hivyo naweza nisikupe ushauri unaotaka wewe.
Eiyer umesema vizuri sana labda nikwambie hivi mimi binafsi ni mfanyabiashara mzuri nina maduka ya hardwares ya kwangu binafsi 4. ila pia kila bi mkubwa anabiashara yake mwenyewe ambayo mtaji nimempa mimi mwenyewe. Na wakati nafanya hayo niliwauliza kila mtu aseme anataka nini nisije nikaforce so walivyochagua ndivyo nilivyo watimizia.Kwanza pole.Matatizo yako yanaanzia kwako mwenyewe.Sidhani kama ulijiuliza unataka nini kwa mkeo mpaka ulipooa ukagundua hana ukaoa mwingine na mwingine mpaka wa4.Pia wake zako wana mahitaji kwako sidhani kama unayatimiza,hebu zungumza nao kwa upendo uwaulize halaeu uone watakujibu kitu gani.Najua wanaume huwa tuna mambo ya ubabe lakini sio kila mahali ni ubabe,busara inahitajika hapo!
Eiyer umesema vizuri sana labda nikwambie hivi mimi binafsi ni mfanyabiashara mzuri nina maduka ya hardwares ya kwangu binafsi 4. ila pia kila bi mkubwa anabiashara yake mwenyewe ambayo mtaji nimempa mimi mwenyewe. Na wakati nafanya hayo niliwauliza kila mtu aseme anataka nini nisije nikaforce so walivyochagua ndivyo nilivyo watimizia.
Istoshe maisha ya ndani siku nyinine huwa naenda nao shopping wote wawili, za vyakula na hata nguo na mapambo ya kike kwa mujibu wa sheria za kiislam. Panapo matatizo huwa najitoa ukweni kote pasi ubaguzi na wao wote wanashirikiana vizuri sana.
mpaka sasa hawajasema kwa nini huwa wanatoka nje ya ndoa, na mimi niliwaambia sitokaa nitoke ndio maana ninao wao wawili na nawapenda sana. nimefika mahali nimehisi hata mambo mabaya juu yao inshalla Mungu anisamehe.
Balaa limeingia ndani ya nyumba zako na usipoangalia basi siku zako zipo mashakani,fuata moyo wako baada ya kuwa umejiridhisha kuwa wanakuendea kinyume na kama uliweza kuoa basi pia kwa sheria za dini yako unaweza kuacha maana wanachokufanyia wake zako ni dhambi na una haki zote kuwaacha na kuoa wake wengine.
Balaa limeingia ndani ya nyumba zako na usipoangalia basi siku zako zipo mashakani,fuata moyo wako baada ya kuwa umejiridhisha kuwa wanakuendea kinyume na kama uliweza kuoa basi pia kwa sheria za dini yako unaweza kuacha maana wanachokufanyia wake zako ni dhambi na una haki zote kuwaacha na kuoa wake wengine.
Kwahiyo we hujui kabisa nini wanachopewa na vidumu vyao? Ni hiyo huduma usiyoweza kuwapa wote kila siku.