Dar umenikumbusha mbali sana, yaani kipindi icho ndio nimeingia 1st year chuo, test yangu ya kwanza ya Somo la CCC+ (programming language) nilipata 0/10% nilipigwa na butwaaaaaah, nilipata mpaka tumbo la kuhara, kila nikigeuka uku naskia watu sauti zinasema hapa Udsm-Coict watu wana disco sana nikajua nime kwisha ila cha kushangaza nilipata access ya kufanya UE na pia ilo somo siku sup mungu ni mkubwa sasaivi najishughulisha na uuzaji wa chakula cha mifugo ya kuku.
mzee vavadua vizuri hapaPole Sana!
Bado una Nafasi kubwa Sana ya kufaulu..
Kwa Nguvu zote komaa na individual assignment na hiyo test Two inaweza kukutoa
#jiongeze, fanya vitu nje na masomo huku mtaani hatutaki GPA yako tunataka competence yako na uwajibikaji wako.
1.Tafuta kazi au biashara.
2 Fanya volunteer sehemu yoyote according to your Field of discore..
3.Kuwa tofauti na wenzako
5.Soma Sana.
Ulivyosimulia tu nikakumbuka acha kabisaunamjua kumbeππππ