Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,673
asante ukhuty[emoji4]Wazo zuri
ndo maana nataka niende ushuani kama si maporini huko.nikiona kuna watu wamejenga vya kutosha nacheki na eneo.mfano maeneo ya kimara ndanidani sana..mbezi na kwinginekovyote hivyo inategemea eneo unalotaka kufungua hiyo biashara..
asante kwa hili pia..ntalifanyia kaziKwa biashara ya matunda ni vizuri ukaifanya maeneo yenye watu wengi mfano karibu na vituo. Ya magar
huko kwa idea yako ni sawa ila lazima utarget neo watu wengi wanapitando maana nataka niende ushuani kama si maporini huko.nikiona kuna watu wamejenga vya kutosha nacheki na eneo.mfano maeneo ya kimara ndanidani sana..mbezi na kwingineko
Ukipata na maofisini ,mashuleni maaeneo ya vyuo,biashara kama hiyo inaenda vizuri sanai will be also selling fresh fruit salads(desserts) na juice baada ya muda
View attachment 491725
asante sana kwa ushauri wako....i believe ntafanikiwa..Mungu anisimamiemawazo yako ni mazuri na yanalipa. Ukiona biashara watu kila siku wamekomaa nayo tu wanafanya jua inalipa. Una nafasi kubwa ya kufanikiwa kwa sababu wazo limetoka kwako mwenyewe na hivyo unalifahamu vizuri kuliko mtu yeyote na sisi humu unaotuomba ushauri. Umri wako bado mzuri wa kujaribu mambo mengi wala usiogope kushindwa. Tena ni AIBU KUU Kushindwa hata kujaribu. JIAMINI NA AMINI WAZO NA HISIA ZAKO. Humu ni propaganda za siasa tu utakatishwa tamaa
km room kubwa unanunua feni panga ambayo ni kubwa ni 80 joto kwisha kaznitumie method gani au mbinu gani kuweka ubaridi ndani ya room ikiwa ntaishia frem za kawaida..kuna viyoyozi vya bei ndogo?
na kutumia viyoyozi hivi vilivyozoeleka ni gharama?
watakua wanankataje kodi?mi mwenyewe niliumiza kichwa sana nikaamua kufungua saloon ya kiume kwa sababu nipo chuo cha DUCE uwanja wa taifa DSM na pia usimamiz wake si mkubwa changamoto ya hii buznec ni inachukua mda mpaka watu wapazoee ndo mambo yanakua vizur lkn nikaona siwez kutimiza malengo yangu ndo nikafikiria kuingia kwenye genge ambalo nitachoma chips ,kuku,nyama ya ng'ombe na pia nitamix na msos wa kawaida ili pesa zisinikose yaan na ugali na wali na mambo mengine iv nimeshaanza kufanya mambo kutafuta wafanyakaz na kununua vifaa vya kaz ,kwa kwel kwa DSM buznes ya msos unapiga pesa sanaaa hasa ukipata sehem nzur BT KUMBUKA MWANZO NI MGUMU SANA but akuna kurud nyuma hapo TRA wanazingua balaa sabu ukiwa na frem tu wanataka mapato ndo maana watu wantafuta sehem tu na sio frem ili wawe huru
Kodi utalipa kama biashara yako ni rasmi na imesajiliwa ila kama hapana, utalipa labda v ushuru wa usafi serikali ya mtaawatakua wanankataje kodi?
hakuna utaratibu wa kulipia kodi kwa mwaka?
i will be also selling fresh fruit salads(desserts) na juice baada ya muda
View attachment 491725
noted...ntazingatia hiloukianza kuuza matunda juice &salads ni muhimu sana kukwepa hasara ya matunda kuharibika.
ukiuza juice na salads hamna tunda utakalo tupa.
na hakuna haja ya kununua matunda ya kukaa week nzima nunua yakukaa siku mbili au tatu
fridge ni muhimu.