Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,651
Mi ni mkazi wa dar...nimekaa na kufikiria nianzishe biashara gani.nimetoka mtupu. Biashara za kila aina kila kona..nikaamua nifanye biashara ya vitu vinavyoisha faster na matumizi yake ni makubwa kwa siku hasa majumbani.
Biashara nlofikiria kwanza ni genge..but nimeshindwa kupata eneo la kujengea na genge linahitaji ujenge tu banda tu kama wengine sio ndani ya fremu.
Biashara ya pili ni matunda fresh mchanganyiko na nahisi naweza kuifanya katika mazingira mazuri ndani ya fremu nzuri.sasa nahisi sitoweza kudumu nayo kwa mda mrefu sababu ya hali ya hewa joto sana hasa nkifunga usiku.pia je ntaweza kuuza na kuvutia wateja nkiwa ndani ya frem badala ya banda?
Nifanye nini ili matunda yaweze kudumu na kuwa fresh japo week nzima?
lengo la kufanyia kwenye frem ni creativity na kujiweka tu tofauti na wengine.pia usafi utaweza kuvutia wateja.
Maeneo nnayotarget kuanza hii biashara ni maeneo ya ndanidani hapa dar ambapo watu wamejenga but huduma nyingi hazijawafikia karibu.(je nko sahihi hapa?)
matunda ntayajengea shelf kama hizi