injinia mganga
Member
- Oct 13, 2016
- 94
- 21
Ndugu wana jf kuna dogo langu anatamani xana kuja kufundisha secondary lakini kutokana na matokeo yake hakupata shule nilijaribu kumtafutia private lakini gharama ikawa kunmbwa na anapenda sana kwenda advance ili ndoto zake zitimie matokeo yake yapo hivi DIV III 25 CIV D PHYS D HIST D GEO D CHEM C BIOS D ENG C KISW C B/MATHS D Je akireseat atapangiwa gvt kama hata pangiwa arudie form ngapi ili atimize ndoto zake