Shost , ukiona mwanaume anakulilia hivyo, Mara unabadili namba yy yumo, unamwambia mi sikutaki hasikii lolote ujue yamemkuta! ( naongea haya nikiwa among the victim)hebu jaribuu kumsikiliza mwaya..wala we sio last option kama wadau walivyosema, kakumbuka wema wako na maisha mema mliyoishi pamoja! na itakuwa anajuta kinoma noma huko aliko sema hawezi kujishusha kivile si mwanaume?
My dear ushauri wangu tu kwako msamehe kutoka rohoni, vile vile mrudie yaani mpe last chance, na muonyeshe kuwa bado unampenda yaani sasa ( kwake ni full kuumbuka tu)...narudia tena rudiana nae coz inaonekana dunia ishamfunza, wenzio yametukuta zaidi ya haya ya kwako, tukasamehe now tunaenjoy life na tuwapendao!
A serious Note: check afya kabla ya kuduu nae ( make sure you accomplish 6 months baada ya kupima kila miezi 3)
Goodnight!
Pole sana best yangu ni mapito tu ila yanaumiza,pambana n maisha yko n watoto wako huyo hakupendi na hata mkirudiana bdo itakua mnapita mulemule yani hana mzuka nawe tupo nawe kwa sababu yuko broke kimaisha.hata mechi atakua anapiga kwa hisia za dem mwingne....kukutukania familia yko ni ishara tosha kua alikua anawaona takataka wewe n familia yko,pole sanathank u wit..
unayosema nitayazingatia dear..
thanx a lot friend of mine!Pole sana best yangu ni mapito tu ila yanaumiza,pambana n maisha yko n watoto wako huyo hakupendi na hata mkirudiana bdo itakua mnapita mulemule yani hana mzuka nawe tupo nawe kwa sababu yuko broke kimaisha.hata mechi atakua anapiga kwa hisia za dem mwingne....kukutukania familia yko ni ishara tosha kua alikua anawaona takataka wewe n familia yko,pole sana
thank u brooPole dada yangu kipenzi dunia gunia hili pana masahibu mengi yanatokea kila uchao waungwana wamesema mengi tena kwa mitindo tofauti ukali upole au kejeli kila mmoja kajaribu kufikisha ujumbe kwa namna yake. Binafsi nakuomba sana pamoja na yote yaliyosemwa naomba uusikilize moyo wako unasemaje? Mwamuzi wa mwisho ni wewe sababu ni maisha yako sisi tunajaribu kuweka mambo sawa kwa kukufanya utafakari kwa michango yetu ila wa kumaliza huu mzozo ni wewe peke nakuombea uwe na busara zaidi baada ya kupata michango mbalimbali ila kumbuka maamuzi utakayo yafanya ni mustakbali wako na wajomba zetu pia kila la kheri.
Najua ila uzito wa mzigo anaujua mbebaji ushauri wetu ni muhimu ili uweze kuchanganua mambo ila mwisho wa siku ni weye ndio unatoa hutimisho la kadhia hii ndio maana tunasema usikilize moyo wako kwa faida yako na wapwa zetu.thank u broo
mpk kuomba ushauri basi Mtu mzima nimetingwa mnoo...
nipo katikati ya msitu!
Najua ila uzito wa mzigo anaujua mbebaji ushauri wetu ni muhimu ili uweze kuchanganua mambo ila mwisho wa siku ni weye ndio unatoa hutimisho la kadhia hii ndio maana tunasema usikilize moyo wako kwa faida yako na wapwa zetu.
Seriously?? I don't know man.....lakini haya, it's her funeral! But personally i wouldn't recommend it.Mpe nafasi ya mwisho
Mwambie kabisa ckupendi cku hizi nampenda mmakonde wa JF hatakusumbua tenanamuambia kila siku iendayo Leo ndugu yangu Ila hanielewi tu!